• Nzi na Buibui

    Watu wengi ukiwauliza dhana ya neno Maisha hawawezi kueleza Kwa uwazi bila kutoa mifano mengi sana. Ni kweli si jambo rahisi. Wapo wataalamu wengi ambao wameona kuwa Maisha hayana maana Kwa wazo kuwa binadamu anaishi Maisha ya matatizo mengi na maisha aliyopangiwa, hivyo yeye Hana chaguo Kwa lolote linalomfanyikia. Wapo wataalamu wengi ambao wanajipa moyo Continue reading

  • Moyo wangu

    Moyo wangu

    Hili si jambo la milele nililotamani, Mawimbi haya makali, naona Maisha tuliumbiwa kuteseka na kuteswa tu… Natafuta faraja popote nionapo panapo, Chini ya mbuyu natulia, utulivu wa fikra tu, ‘Hii Maisha ungebadilisha iwapo ungeelewa maneno hayo, ukweli usiojua ni kuwa-Sitoweza kusahau, wino wa maneno yako isofutika’ Mwishowe, nahisi uzito tu ndani ya moyo wangu, Naona Continue reading

  • SIKU YA UKIMWI DUNIANI

    Virusi Vya Ukimwi(VVU) inasalia kuwa suala kuu la afya ya umma ambalo linaathiri mamilioni ya watu duniani kote. Katika miaka michache iliyopita maendeleo kuelekea malengo ya VVU yamekwama, rasilimali zimepungua, na mamilioni ya maisha yako hatarini kama matokeo. Mgawanyiko, tofauti na kutozingatiwa kwa haki za binadamu ni miongoni mwa mapungufu yaliyoruhusu VVU kuwa na kubaki Continue reading

  • Mystery; Nature defies Gravity; Kyamwilu in Machakos County.

    Mystery; Nature defies Gravity; Kyamwilu in Machakos County.

    I keep saying wonders will never end! Do you agree? Kyamwilu or Kituluni is an example of the place. At this place nature defies gravity.Now let’s know what the Newton’s law of gravity says. Gravity is a force that pulls or attracts all objects towards the Earth’s center. Gravity has a major effect while driving Continue reading

  • KUWEPO,

    Sio siri kuwa mafanikio hayaji mara moja. Yeyote anayekuambia vinginevyo labuda anajaribu kukuuzia kitu Kwa faida yake mwenyewe. Ukweli ni kwamba, ikiwa unataka kufikia jambo lolote la maana, unahitaji kuwa thabiti katika jitihada zako. Kujionyesha/Kuwepo kila siku, hata wakati hauna motisha. Kuwepo ni moja ya mambo muhimu zaidi unayoweza kujifanyia. Na si tu kuhusu kujionyesha Continue reading

  • UANISHAJI WA LUGHA

    Uanishaji ni njia ya kuweka lugha katika makundi Kwa kuongozwa na vigezo mahususi.Mgullu (1999), anasema kuwa uainishaji wa lugha unaweza kufanywa kwa kuzingatia vigezo mbalimbali ambavyo ni uainishaji wa lugha kinasaba, uainishaji wa lugha kijiografia, uainishaji wa lugha kiuamilifu na uainishaji wa lugha kimuundo/ kimofolojia.Vigezo vya kuainisha lughaKinasabaKijiografiaKimuundo/ kimofolojiaKiuamilifu/Kiutendakazi1.Uanishaji lugha KinasabaNi mchakato wa kuweka lugha Continue reading

  • SIFA BIA ZA LUGHA

    Lugha ni mfumo wa sauti na ishara za nasibu inayotumika jamii yenye utamaduni wao kwa mawasiliano.Mfumo ina inadhihirisha kuwa lugha ina safu mbili kuu:MaanaSautiKila lugha ina fonolojia/sauti zake za pekee. Sauti mbalimbali hubainishwa na sifa mbalimbali.Lugha ya binadamu pia hutumia ishara, kuna ishara za aina mbili:Ishara za nasibu, ambazo hakuna uhusiano baina ya kitaja na Continue reading

  • UTAMADUNI WA KIPSIGIS

    Utamaduni inahusu Mila, asili, hadi na desturi za mavazi, vyakula, Imani Maisha ya jamii Kwa jumla. Kama tunavyojua utamaduni ni kipengele muhimu sana katika kulea lugha Fulani, jamii nayo huipa lugha jina na eneo la linalotumika. Utamaduni huonyesha shughuli za Kila siku za jamii Fulani. Kalenjin ni Jamii kubwa inayounganisha lahaja mbalimbali, mojawapo ya lahaja Continue reading

  • The girl and the Truck Driver

    A long-distance truck driver on a lonely road through some hills is flagged down by a young lady who asks for a lift into the next town. The driver gives her a lift but it starts raining heavily as they approach the town where the girl says she lives. When the girl points to her Continue reading

About Me

Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.

Newsletter