KUWEPO,

Sio siri kuwa mafanikio hayaji mara moja. Yeyote anayekuambia vinginevyo labuda anajaribu kukuuzia kitu Kwa faida yake mwenyewe.

Ukweli ni kwamba, ikiwa unataka kufikia jambo lolote la maana, unahitaji kuwa thabiti katika jitihada zako. Kujionyesha/Kuwepo kila siku, hata wakati hauna motisha. Kuwepo ni moja ya mambo muhimu zaidi unayoweza kujifanyia.

Na si tu kuhusu kujionyesha kimwili; pia unahitaji kujitokeza kiakili, kihisia, na kwa nia. Ikiwa unaweza kuwa thabiti katika juhudi zako, hatimaye utaona matokeo.


Kwa hiyo usikate tamaa, na usivunjike moyo. Njia pekee ya kufikia malengo yako ni kuendelea kusonga mbele – hatua moja baada ya nyingine.



Kubali Jana. Uwepo Leo. Kuwa na Imani na Kesho.



4 responses to “KUWEPO,”

  1. Mashaallah. Maneno haya, na picha hizi ni kumbukumbu ya milele.

    Liked by 1 person

    1. Sitoweza kusahau maneno na kauli zako katu!

      Like

  2. Kazi nzuri sana profesa ,tuwe imara tusiyumbishwe na pepo za tufani kwa kuuziwa woga

    Like

    1. Asante sana. Nakuthamini. Popote uendapo, chochote ufanyacho naomba mungu atimize yote🥰

      Like

Leave a comment

About Me

Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.

Newsletter