• MURSIK: URITHI TAJIRI WA KALENJIN

    MURSIK: URITHI TAJIRI WA KALENJIN!Mursik, ni maziwa iliyochacha Katika jamii ya Kalenjin, Ni maziwa ambayo ni nadra sana kukosekana wakati Wa mlo au sherehe yoyote Ile. Kama mpenzi Wa maziwa hii, nimeweza kusoma na kusikiliza mengi kuhusu mchakato mzima Wa kutengeneza Mursik Katika jamii ya Kalenjin.Kalenjin ni mojawapo ya jamii Katika ukanda Wa blonde la Continue reading

  • Magofu ya GEDE

    Magofu ya Gedi, pia yanajulikana kama Gedi, ni eneo la kiakiolojia iliyo kwenye pwani ya Kenya, karibu na mji wa Malindi. Utakapofika lango la eneo hili utakaribishwa vyema sana na tumbili. Iwapo unataka kutazama tabia zao za kupendeza basi ndizi ni chakula chao. Unaweza kununua ndizi na kuwalisha Kwa manufaa yako. Sehemu hii Ina historia Continue reading

  • Mwangwi Wa Usaliti

    Mara nyingi, tunatarajia kwamba marafiki na wenzetu watasherehekea na kutusaidia tunapofanikiwa katika maisha yetu. Hata hivyo, kuna wakati ambapo mafanikio ya haraka yanaweza kusababisha mabadiliko katika uhusiano wetu na watu wengine. Mara nyingi, mtu anayepata hadhi ya muda mfupi huenda akakumbwa na mabadiliko katika maisha yake, iwe ni kifedha, kijamii, kikazi na mara nyingi uhusiano Continue reading

  • Wosia

    Usilolijua ni kama usiku Wa kiza! Continue reading

  • Kazi ya nani?

    Ah, muundo wa kipekee wa hatua zetu za kutembea😊🫢. Mtu anaweza kuwazia tu kile kilichokuwa akilini mwa muundaji/waumbaji walipokuwa wakichonga kazi hii bora ya kupendeza🥳.Wazia: Mungu , mwenyewe akiwaza na kuwazua Kisha akaamua , “Loo, nitawafanya wanadamu watembee kwa njia ya kufurahisha zaidi!”😁 Kwanza, walisema, “Hebu tuwape miti miwili mirefu, inayoitwa miguu, kwa mguso wa Continue reading

  • Hell’s Kitchen

    Hell’s Kitchen ni eneo lenye umaarufu mkubwa katika Marafa, Malindi nchini Kenya. Eneo hili linajulikana kwa mandhari yake nzuri na kipekee. Hell’s Kitchen linajumuisha mabonde yaliyochongeka na kuwa miamba na maumbo ya ajabu, ambayo hutoa picha ya kuvutia. Vitu vya kuzingatia:Tafadhali tembelea Hell’s Kitchen wakati wa asubuhi na baada ya saa 2:30 alasiri. Unauliza kwa Continue reading

  • Lost Hopes

    At the junction of daily shouts of happiness, where dreams were cooked,A somber story of loss,A mournful cry filled the air,Of this tragedy unfolded. To the streets they went,For school fees, food, and their daily needs.Mothers, fathers, families in tension,Bearing burdens and battling for survival. In this fateful evening, children waited for parents’ loving smile,But Continue reading

  • Maombi 6 ya Julai, 2023

    Hapa kuna orodha ya maombi sita ya mwezi wa Julai: Continue reading

  • Chuo Kikuu Cha Pwani

    Chuo Kikuu cha Pwani, ni chuo cha umma kilichoko Kaunti ya Kilifi, Kenya. Ilianzishwa mwaka wa 2007 kama chuo kishiriki cha Kenyatta na baadaye kupata hadhi kamili ya chuo kikuu mnamo 2013. Chuo hiki kinapatikana katika eneo la pwani la Kenya, karibu na mji wa Kilifi. Chuo kikuu cha Pwani kinatoa programu mbalimbali za shahada Continue reading

About Me

Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.

Newsletter