wosia
-
Sergio De Mello – True Story
Sergio Vieira de Mello was a Brazilian diplomat who dedicated his life to humanitarian work. He was born in Rio de Janeiro in 1948 and obtained a degree in philosophy from the Catholic University of Rio de Janeiro in 1969. In 1969, he joined the United Nations High Commissioner for Refugees (UNHCR) and began his Continue reading
-
SIKUKUU YA MAMA
Siku ya Mama ni siku ambayo tunatambua na kuadhimisha umuhimu wa mama na jukumu kubwa ambalo wanalo katika maisha yetu. Siku hii huadhimishwa kila mwaka katika nchi nyingi duniani, kawaida siku ya pili ya Jumapili ya Mwezi wa Tano. Siku ya Mama ilianza kama harakati za kuwaheshimu mama na wanawake katika miaka ya 1900. Mwanaharakati Continue reading
-
Wasifu Wa Nelly Cheboi
Mwanamke Shujaa, Nelly Cheboi. Taswira kamili inanijia akilini mwangu. Si ndoto Wala soga ya aina yoyote. Inaweza kuwa ni sadfa ila sivyo. Ni kweli wala si uvumi. Ni taswira ya mtoto wa kike, hivi Sasa mwanamke. Wanasema waswahili kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha. Ni katika Kijiji kisichojulikana katika eneo lolote la Afrika ama hata Continue reading
-
KUWEPO,
Sio siri kuwa mafanikio hayaji mara moja. Yeyote anayekuambia vinginevyo labuda anajaribu kukuuzia kitu Kwa faida yake mwenyewe. Ukweli ni kwamba, ikiwa unataka kufikia jambo lolote la maana, unahitaji kuwa thabiti katika jitihada zako. Kujionyesha/Kuwepo kila siku, hata wakati hauna motisha. Kuwepo ni moja ya mambo muhimu zaidi unayoweza kujifanyia. Na si tu kuhusu kujionyesha Continue reading
About Me
Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.
