wosia
-
Sikio la Mama!

Katika kijiji kimoja cha Sikujua, kulikuwa na familia moja, baba, mama na mtoto wao mmoja aliyeitwa TikTok. TikTok alikuwa kijana mwenye busara na heshima, lakini ghafla tatizo la kifamilia likatokea. Waliosema na walisema: “Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, na kuzaa mwana si kazi, bali kulea ndio kazi.” TikTok alipofanya kosa na baba yake akataka kumwadhibu mama Continue reading
-
SHAPED DIFFERENTLY!
We emerge from varied backgrounds, some from humble beginnings others from affluence. Our educational journeys differ, shaped by struggles or privileges. Raised by different figures, be it one parent, both or guardians, we share the common thread of self-reliance. Some of us tread alone, armed with only documents, communication skills and our own resilience. We Continue reading
-
Magofu ya GEDE
Magofu ya Gedi, pia yanajulikana kama Gedi, ni eneo la kiakiolojia iliyo kwenye pwani ya Kenya, karibu na mji wa Malindi. Utakapofika lango la eneo hili utakaribishwa vyema sana na tumbili. Iwapo unataka kutazama tabia zao za kupendeza basi ndizi ni chakula chao. Unaweza kununua ndizi na kuwalisha Kwa manufaa yako. Sehemu hii Ina historia Continue reading
-
Mwangwi Wa Usaliti
Mara nyingi, tunatarajia kwamba marafiki na wenzetu watasherehekea na kutusaidia tunapofanikiwa katika maisha yetu. Hata hivyo, kuna wakati ambapo mafanikio ya haraka yanaweza kusababisha mabadiliko katika uhusiano wetu na watu wengine. Mara nyingi, mtu anayepata hadhi ya muda mfupi huenda akakumbwa na mabadiliko katika maisha yake, iwe ni kifedha, kijamii, kikazi na mara nyingi uhusiano Continue reading
-
Lost Hopes
At the junction of daily shouts of happiness, where dreams were cooked,A somber story of loss,A mournful cry filled the air,Of this tragedy unfolded. To the streets they went,For school fees, food, and their daily needs.Mothers, fathers, families in tension,Bearing burdens and battling for survival. In this fateful evening, children waited for parents’ loving smile,But Continue reading
-
Maombi 6 ya Julai, 2023
Hapa kuna orodha ya maombi sita ya mwezi wa Julai: Continue reading
-
Father’s Day
Father’s Day is a special day dedicated to honoring fathers and celebrating their contributions to the family and society. It is typically observed on the third Sunday in June in many countries around the world, including Kenya. Father’s Day provides an opportunity to show appreciation, love, and gratitude to fathers and father figures for their Continue reading
-
Pomodoro Technique 👏
Pomodoro Study Technique The Pomodoro Technique is a time management method that was developed by Francesco Cirillo in the late 1980s. It’s a popular technique for improving productivity and focus, especially for studying or working on tasks that require sustained attention. Here’s how it works: The key principle of the Pomodoro Technique is to break Continue reading
About Me
Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.
