Academia

  • Mchango wa Mtaala wa CBC katika Lugha na Fasihi ya Kiswahili.

    Kuanzishwa kwa Mtaala mpya unaozingatia Umilisi (CBC) nchini Kenya kumekuwa na athari kubwa katika ubora wa lugha na fasihi ya Kiswahili. CBC ni mbinu mpya ya ufundishaji na ujifunzaji ambayo inalenga katika ukuzaji wa ujuzi badala ya mbinu ya jadi ya kukariri ukweli wa matini na takwimu. Mtaala mpya umeundwa ili kuhakikisha kwamba wanafunzi wanaweza Continue reading

  • Mchango wa Mtaala wa CBC katika Lugha na Fasihi ya Kiswahili.

    The introduction of the new Competency-Based Curriculum (CBC) in Kenya has had a significant impact on the quality of Kiswahili language and literature. The CBC is a new approach to teaching and learning that focuses on the development of skills and competencies rather than the traditional approach of memorizing facts and figures. The new curriculum Continue reading

  • Mystery; Nature defies Gravity; Kyamwilu in Machakos County.

    Mystery; Nature defies Gravity; Kyamwilu in Machakos County.

    I keep saying wonders will never end! Do you agree? Kyamwilu or Kituluni is an example of the place. At this place nature defies gravity.Now let’s know what the Newton’s law of gravity says. Gravity is a force that pulls or attracts all objects towards the Earth’s center. Gravity has a major effect while driving Continue reading

  • KUWEPO,

    Sio siri kuwa mafanikio hayaji mara moja. Yeyote anayekuambia vinginevyo labuda anajaribu kukuuzia kitu Kwa faida yake mwenyewe. Ukweli ni kwamba, ikiwa unataka kufikia jambo lolote la maana, unahitaji kuwa thabiti katika jitihada zako. Kujionyesha/Kuwepo kila siku, hata wakati hauna motisha. Kuwepo ni moja ya mambo muhimu zaidi unayoweza kujifanyia. Na si tu kuhusu kujionyesha Continue reading

  • Magonjwa ya zinaa!

    Unachohitaji kujua kuhusu magonjwa ya zinaa; Baadhi yazo ni; 1.Klamidia.2. Herpes Simplex.3.Malengelenge sehemu za siri4.Hepatitis B5.Trichomoniasis6.VVU7.Human papillomavirus8.Molluscum contagiosum9.Upele10.Kaswende11.Kisonono12.ChancroidKuonana na daktari.Matibabu na vidokezo.Kuzuia. Kwanza kabisa tupate maoni niliyokusanya kutoka kwa wanacham wa ‘Pwani university peers’ Mambukizi ya zinaa (STIs) kawaida hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine kwa njia ya kujamiiana. Nyingi ni za kawaida, Continue reading

About Me

Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.

Newsletter