• KWARESMA! JUMATANO YA MAJIVU,MWANZO WA KIPINDI CHA KWARESIMA.

    Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, muda muafaka wa: sala, toba na wongofu wa ndani unaomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili. Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima Cha Siku 40 Kwaresima ni kipindi cha siku arobaini za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma. Continue reading

  • MAAJABU SABA (MPYA) DUNIANI!

    Mnamo mwaka wa 2000 taasisi ya Uswizi ilizindua kampeni ya kuamua Maajabu Saba Mapya ya Dunia. Kwa kuzingatia kwamba orodha ya asili ya Maajabu Saba iliundwa katika karne ya 2 KK—na kwamba ni mshiriki mmoja tu ambaye bado amesimama ( Piramidi za Giza )—ilionekana kuwa ni wakati wa kusasishwa. Na inaonekana watu ulimwenguni kote walikubali, Continue reading

  • KUACHA KUJAMIIANA HUATHIRI MWILI WAKO!

    Wakati mwingine tunaacha kufanya ngono, lakini hatukufanya kwa makusudi: Tunapitia talaka; tunasafiri; mwenzetu anaumwa; au ratiba yenye shughuli nyingi huweka maisha yetu ya ngono kusimama. Siku chache za kutofanya ngono hubadilika na kuwa wiki, na wiki hugeuka kuwa miezi, na kabla ya kutambua hilo, tumeweka kiapo cha muda cha kutofanya ngono bila hiari. Udanganyifu wa Continue reading

  • MABAKI YA YESU YAMEPATIKANA!

    Machi 28, 1980; Kikundi cha wanaelimu chimbo(archaeologists) ikiongozwa na Simon Gypson na Professa Amos Kloner waligundua makaburi ya zamani sana. Makaburi haya yalikuwa na majeneza na ndani yake mifupa ya watu waliozikwa humo. Majeneza hayo yalitengenezwa kwa udongo ngumu na Wayahudi. Wayahudi waliita Ossuary. Mabaki hayo yaligunduliwa katika mji mdogo wa Talpiot(Talpiot Tomb) umbali wa Continue reading

  • KABURI YA SARATANI!-kupapasa matiti inawezesha kugundua uvimbe unaoweza kuzalisha SARATANI.

    Leo alfajiri nimerauka kama kawaida lakini nimeshangazwa kwamba gonjwa la SARATANI imeweza kupata wanawake wengi Kaunti ya Kilifi na maeneo mengi duniani. Nimeamua kuchunguza kuhusu janga hili na nimepata haya. SHINGO YA KIZAZI SHINGO YA KIZAZI NI NINI? Shingo ya kizazi (cervix) ni kiungo cha mwili kinachopatikana kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke. Ni sehemu Continue reading

  • My Gratitude Diary

    Today, I woke up. Prepared myself. Tightened my shoe laces, and stepped out. Unlike the many past months and days, I wasn’t randomly walking out clueless of what the day might hand me; so I may go hoping for at least one, but I walked out with a clear directive in my mind of where Continue reading

  • Afueni kwa wasomi wa kiswahili!

    WIKI YA LUGHA ZA KIAFRIKA: Kiswahili Kinavyokuza Uchumi Na Kuunda Nafasi Za Kazi AfrikaNA FAUSTINE NGILA UMEWAHI kutambua tabia ya baadhi ya Wakenya kuwa ukisema nao kwa Kiswahili sanifu watakujibu tu kwa Kiingereza? Nia yangu si kudhalilisha wanaotumia Kimombo kwa mazungumzo yao, ila kukuonyesha jinsi kukijua Kiswahili mufti kunavyoweza kukukweza katika daraja ya kiuchumi. Hivi Continue reading

About Me

Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.

Newsletter