Uncategorized
-
KABURI YA SARATANI!-kupapasa matiti inawezesha kugundua uvimbe unaoweza kuzalisha SARATANI.
Leo alfajiri nimerauka kama kawaida lakini nimeshangazwa kwamba gonjwa la SARATANI imeweza kupata wanawake wengi Kaunti ya Kilifi na maeneo mengi duniani. Nimeamua kuchunguza kuhusu janga hili na nimepata haya. SHINGO YA KIZAZI SHINGO YA KIZAZI NI NINI? Shingo ya kizazi (cervix) ni kiungo cha mwili kinachopatikana kwenye mfumo wa uzazi wa mwanamke. Ni sehemu Continue reading
-
Afueni kwa wasomi wa kiswahili!
WIKI YA LUGHA ZA KIAFRIKA: Kiswahili Kinavyokuza Uchumi Na Kuunda Nafasi Za Kazi AfrikaNA FAUSTINE NGILA UMEWAHI kutambua tabia ya baadhi ya Wakenya kuwa ukisema nao kwa Kiswahili sanifu watakujibu tu kwa Kiingereza? Nia yangu si kudhalilisha wanaotumia Kimombo kwa mazungumzo yao, ila kukuonyesha jinsi kukijua Kiswahili mufti kunavyoweza kukukweza katika daraja ya kiuchumi. Hivi Continue reading
-
Kalenjin,Origin and dispersal.
What’s your origin? 😂😂 You don’t know. I bet you only know the dispersal point, the creation accounts as per your religion and also the scientific view about the origin of human kind. Here I am going to describe the movement of Kaleniin people to where they are now. Kaleniin are among the Highlands nilotes Continue reading
-
Msukumo Wangu!
Nafsi yangu ina hadithi, moyo wangu una hadithi, upendo wangu ni usemi. Upendo ulitungwa kuwa msukumo. Katika akili yangu, moyoni mwangu, ndani ya roho yangu. Kila mahali ninapoenda, upendo huja pamoja nami. Kwa maana, ninaihitaji karibu nami, nataka karibu nami, nataka inisogeze, nahitaji upendo wa kupumua kwa ajili yangu. Ni wazi kuona, upendo hunikamilisha. Upendo unakomboa, upendo unaweka huru, upendo unavutia, Continue reading
-
Amazing, gorgeous Journalist Vallary Amwayi.

If beauty with brains was a person then Vallary Amwayi tops the list! Vallary Amwayi is one of the best young female journalists in Kenya, admired by many. She is famously known for her fluency, eloquence in the Swahili language As far as Sports is concerned, She calls herself sports lady- dadakiispotiVal. Surprisingly, reaching to Continue reading
-
Sensational Charles Kangwana!

If you are asked a question regarding journalism and journalists, then you will eventually mention big media names,groups and personalities. Our media platform have been resurfaced by the young rising boy and journalist to be, Charles Kangwana. Despite his background and various life constraints not forgetting various resources and instruments required to start and run Continue reading
-
Just Tired
I talked to a friend today.he asked me why my voice sounds worn out?“Just tired”, I replied.Better not share the stuff he knows nothing about. “Get some rest & take care of your health”.I did feel the concern that he had tried to express.I wanted to tell him that it wasn’t lack of sleep,but a Continue reading
-
SIKU YA WAJINGA!
Siku ya wajinga duniani -inayoadhimishwa Aprili 1 kila mwaka – imekuwa ikiadhimishwa kwa karne kadhaa na tamaduni tofauti, ingawa asili yake halisi bado ni siri. Mila ya Siku ya wajinga ni pamoja na kuwadanganya watu au kuwafanyia au utani wa vitendo mbalimbali. Wakati historia yake halisi imeghubikwa na siri, kukumbatiwa kwa utani wa Siku ya Continue reading
-
HADHI YA KISWAHILI YAINUKA!
Kiswahili ni moja ya lugha zinazoendelea kukua na kuwavutia wazungumzaji wengi duniani. Hivi sasa Kiswahili ni miongoni mwa lugha kumi zinazozungumzwa na watu wengi duniani ikiwa na wazungumzaji takriban milioni 200. Baadhi ya wazungumzaji hutumia Kiswahili kwa shughuli rasmi wengine wakitumia lugha hii kwa mazungumzo ya kawaida kufanikisha shughuli za kila siku kama biashara na Continue reading
-
ATTACHMENT OPPORTUNITIES!
KENYA REVENUE AUTHORITY. https://www.kra.go.ke/en/careers/1622-industrial-attachment-opportunities-may-to-july-2022-intake KENYA POWER AND LIGHTING COMPANY. Application Open For KPLC Industrial Attachment Opportunities Categories Apply here; https://opportunitiesforyoungkenyans.co.ke/2022/03/08/application-open-for-kplc-industrial-attachment-opportunities/ Continue reading
About Me
Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.
