Uncategorized
-
Usife moyo
Mara nyingine unachokiamini na kinachoendelea kwenye maisha yako huwa ni vitu viwili tofauti kabisa Unamaamini katika kuwa mtu mkuu lakini kwa leo hakuna anayekuamini,unaamini kuwa mfanyabiashara mkubwa lakini hauna mtaji wa kuanzia,unaamini katika kuwa mtu mwenye ushawishi lakini leo hakuna mtu aliye tayari Kumuamini na kukupa fursa hata ndogo tu. Moja ya nyakati ambayo wengi Continue reading
-
UKANDA WA UKIMYA!
Je umewahi kusikia hadithi ya zone of silence? Viumbe wa angani kama Aliens👽, Hapa ndipo utapata maelezo na Maajabu ya eneo hili.Historia na Maajabu katika UKANDA WA UKIMYA. Eneo la Ukimya, pia linajulikana kama La Zona Del Silencio, liko maili mia nne kutoka El Paso, Texas, nchini Mexico. Mahali hapa ni jangwa na amana nyingi Continue reading
-
Magonjwa ya zinaa!
Unachohitaji kujua kuhusu magonjwa ya zinaa; Baadhi yazo ni; 1.Klamidia.2. Herpes Simplex.3.Malengelenge sehemu za siri4.Hepatitis B5.Trichomoniasis6.VVU7.Human papillomavirus8.Molluscum contagiosum9.Upele10.Kaswende11.Kisonono12.ChancroidKuonana na daktari.Matibabu na vidokezo.Kuzuia. Kwanza kabisa tupate maoni niliyokusanya kutoka kwa wanacham wa ‘Pwani university peers’ Mambukizi ya zinaa (STIs) kawaida hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine kwa njia ya kujamiiana. Nyingi ni za kawaida, Continue reading
-
SIKU YA KIMATAIFA YA WANAWAKE! NI NINI?NA KWA NINI TUNAHITAJI?
Machi 8 ni Siku ya Kimataifa ya Wanawake – iliyokubaliwa kusherehekea mafanikio ya wanawake na kutafuta usawa wa kijinsia.Kauli mbiu mwaka huu ni #BreaktheBias – na wanakampeni wanawataka watu kupigia debe mila potofu ya kijinsia na ubaguzi wanapouona.Lakini lini Kimataifa ya Wanawake ilianza na kwa nini bado tunaihitaji leo? Niliweza kukusanya maoni ya watu kadhaa Continue reading
-
JE,NINAWEZA KUPATA MAGONJWA YA ZINAA KUTOKA KWA CHOO?
Je, ninaweza kupata magonjwa ya zinaa kutoka kwa choo? Ian amegundua kwamba mpenzi wake mpya Neema ana Klamidia. Hawajawahi kufanya ngono. Anasema kwamba lazima aliipata kutoka kwenye kiti cha choo. Je, hii inawezekana kweli? Hili ni swali ambalo linasumbua watu wengi hasa wanawake wanaotumia vyoo vya umma. Wanawake wana wasiwasi zaidi kwani wana njia ya Continue reading
-
IPI SURA YA YESU?
Karibu kila mtu ana dhana fulani kuhusu muonekano wa Yesu Kristo. Unapoenda nyumba yoyote,taasisi,kanisa na kwingine utapata picha ya yesu ukutani. Yesu ndiye mtu aliyechorwa zaidi katika sanaa ya Magharibi. Picha zake hutambuliwa kwa urahisi, ambapo huoneshwa akiwa na nywele ndefu na ndevu, akiwa amevalia vazi ndefu lenye mikono mirefu linalofanana na kanzu (sana la Continue reading
-
KWARESMA! JUMATANO YA MAJIVU,MWANZO WA KIPINDI CHA KWARESIMA.
Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima, muda muafaka wa: sala, toba na wongofu wa ndani unaomwilishwa katika matendo ya huruma: kiroho na kimwili. Jumatano ya Majivu, Mwanzo wa Kipindi cha Kwaresima Cha Siku 40 Kwaresima ni kipindi cha siku arobaini za kufunga, kusali, kutafakari Neno la Mungu na kufanya matendo ya huruma. Continue reading
-
MAAJABU SABA (MPYA) DUNIANI!
Mnamo mwaka wa 2000 taasisi ya Uswizi ilizindua kampeni ya kuamua Maajabu Saba Mapya ya Dunia. Kwa kuzingatia kwamba orodha ya asili ya Maajabu Saba iliundwa katika karne ya 2 KK—na kwamba ni mshiriki mmoja tu ambaye bado amesimama ( Piramidi za Giza )—ilionekana kuwa ni wakati wa kusasishwa. Na inaonekana watu ulimwenguni kote walikubali, Continue reading
-
KUACHA KUJAMIIANA HUATHIRI MWILI WAKO!
Wakati mwingine tunaacha kufanya ngono, lakini hatukufanya kwa makusudi: Tunapitia talaka; tunasafiri; mwenzetu anaumwa; au ratiba yenye shughuli nyingi huweka maisha yetu ya ngono kusimama. Siku chache za kutofanya ngono hubadilika na kuwa wiki, na wiki hugeuka kuwa miezi, na kabla ya kutambua hilo, tumeweka kiapo cha muda cha kutofanya ngono bila hiari. Udanganyifu wa Continue reading
-
MABAKI YA YESU YAMEPATIKANA!
Machi 28, 1980; Kikundi cha wanaelimu chimbo(archaeologists) ikiongozwa na Simon Gypson na Professa Amos Kloner waligundua makaburi ya zamani sana. Makaburi haya yalikuwa na majeneza na ndani yake mifupa ya watu waliozikwa humo. Majeneza hayo yalitengenezwa kwa udongo ngumu na Wayahudi. Wayahudi waliita Ossuary. Mabaki hayo yaligunduliwa katika mji mdogo wa Talpiot(Talpiot Tomb) umbali wa Continue reading
About Me
Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.
