Malimwengu na Maajabu

  • Sikio la Mama!

    Sikio la Mama!

    Katika kijiji kimoja cha Sikujua, kulikuwa na familia moja, baba, mama na mtoto wao mmoja aliyeitwa TikTok. TikTok alikuwa kijana mwenye busara na heshima, lakini ghafla tatizo la kifamilia likatokea. Waliosema na walisema: “Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, na kuzaa mwana si kazi, bali kulea ndio kazi.” TikTok alipofanya kosa na baba yake akataka kumwadhibu mama Continue reading

  • Magofu ya GEDE

    Magofu ya Gedi, pia yanajulikana kama Gedi, ni eneo la kiakiolojia iliyo kwenye pwani ya Kenya, karibu na mji wa Malindi. Utakapofika lango la eneo hili utakaribishwa vyema sana na tumbili. Iwapo unataka kutazama tabia zao za kupendeza basi ndizi ni chakula chao. Unaweza kununua ndizi na kuwalisha Kwa manufaa yako. Sehemu hii Ina historia Continue reading

  • Kazi ya nani?

    Ah, muundo wa kipekee wa hatua zetu za kutembea😊🫢. Mtu anaweza kuwazia tu kile kilichokuwa akilini mwa muundaji/waumbaji walipokuwa wakichonga kazi hii bora ya kupendeza🥳.Wazia: Mungu , mwenyewe akiwaza na kuwazua Kisha akaamua , “Loo, nitawafanya wanadamu watembee kwa njia ya kufurahisha zaidi!”😁 Kwanza, walisema, “Hebu tuwape miti miwili mirefu, inayoitwa miguu, kwa mguso wa Continue reading

  • Hell’s Kitchen

    Hell’s Kitchen ni eneo lenye umaarufu mkubwa katika Marafa, Malindi nchini Kenya. Eneo hili linajulikana kwa mandhari yake nzuri na kipekee. Hell’s Kitchen linajumuisha mabonde yaliyochongeka na kuwa miamba na maumbo ya ajabu, ambayo hutoa picha ya kuvutia. Vitu vya kuzingatia:Tafadhali tembelea Hell’s Kitchen wakati wa asubuhi na baada ya saa 2:30 alasiri. Unauliza kwa Continue reading

  • NJIA ISIYO; MACKENZIE 🫢

    Paul McKenzie Nthenge ni Mchungaji wa Kanisa la ‘Good News International Church. Alianza kanisa hili mwaka 2003 kama kituo kidogo cha kiinjilisti pamoja na mkewe Joyce Mwikamba. Kisha walihamia kijiji kiitwacho Migingo huko Malindi ambako alianzisha kanisa katika boma lililozungukwa na ukuta, ambapo familia yake bado inaishi hadi sasa. Mkewe Joyce alisaidia katika kuhubiri kama Continue reading

  • Mystery; Nature defies Gravity; Kyamwilu in Machakos County.

    Mystery; Nature defies Gravity; Kyamwilu in Machakos County.

    I keep saying wonders will never end! Do you agree? Kyamwilu or Kituluni is an example of the place. At this place nature defies gravity.Now let’s know what the Newton’s law of gravity says. Gravity is a force that pulls or attracts all objects towards the Earth’s center. Gravity has a major effect while driving Continue reading

About Me

Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.

Newsletter