entertainment
-
♥️
My dearest, you light up my life,A beacon of love in a world of strife.Your beauty shines like the stars above,And in your embrace, I find sweet love. In your eyes, I see a universe of dreams,Where we dance in the moon’s silvery beams.Our love, a river that flows endlessly,Through the valleys of life, eternally. Continue reading
-
Mwezi
Mwezi wa Dunia ni sayari mbili ambayo inazunguka Dunia na ni kipande cha anga la nje cha dunia. Mwezi wetu ni sayari inayozunguka dunia kwa kasi ya karibu kilomita 3,600 kwa saa na inachukua takriban siku 27.3 kumaliza mzunguko kamili wa Dunia. Mwezi ulianza kujitokeza karibu bilioni 4.5 iliyopita, karibu wakati huo huo ambapo dunia Continue reading
-
Mchango Wa Viungo Vya Mwili-Organ Donation.

Kwa watu wengine jambo hili ni geni kwao. jifahamishe sasa! Je, wajua unaweza kupeana kwa hiari viungo vyako vya mwili unapofariki?Kadri ambavyo watu wanakubali kusaidia au kupeana viungo vya vya mwili kwa watu wengine wanapokufa imeongeza uwezekano wa kuokoa maisha ya watu wengine. Mchango wa viungo vya mwili wa mtu anapokufa unahusisha utoaji wa viungo Continue reading
-
Nzi na Buibui
Watu wengi ukiwauliza dhana ya neno Maisha hawawezi kueleza Kwa uwazi bila kutoa mifano mengi sana. Ni kweli si jambo rahisi. Wapo wataalamu wengi ambao wameona kuwa Maisha hayana maana Kwa wazo kuwa binadamu anaishi Maisha ya matatizo mengi na maisha aliyopangiwa, hivyo yeye Hana chaguo Kwa lolote linalomfanyikia. Wapo wataalamu wengi ambao wanajipa moyo Continue reading
-
Moyo wangu

Hili si jambo la milele nililotamani, Mawimbi haya makali, naona Maisha tuliumbiwa kuteseka na kuteswa tu… Natafuta faraja popote nionapo panapo, Chini ya mbuyu natulia, utulivu wa fikra tu, ‘Hii Maisha ungebadilisha iwapo ungeelewa maneno hayo, ukweli usiojua ni kuwa-Sitoweza kusahau, wino wa maneno yako isofutika’ Mwishowe, nahisi uzito tu ndani ya moyo wangu, Naona Continue reading
-
SIKU YA UKIMWI DUNIANI
Virusi Vya Ukimwi(VVU) inasalia kuwa suala kuu la afya ya umma ambalo linaathiri mamilioni ya watu duniani kote. Katika miaka michache iliyopita maendeleo kuelekea malengo ya VVU yamekwama, rasilimali zimepungua, na mamilioni ya maisha yako hatarini kama matokeo. Mgawanyiko, tofauti na kutozingatiwa kwa haki za binadamu ni miongoni mwa mapungufu yaliyoruhusu VVU kuwa na kubaki Continue reading
-
Mystery; Nature defies Gravity; Kyamwilu in Machakos County.

I keep saying wonders will never end! Do you agree? Kyamwilu or Kituluni is an example of the place. At this place nature defies gravity.Now let’s know what the Newton’s law of gravity says. Gravity is a force that pulls or attracts all objects towards the Earth’s center. Gravity has a major effect while driving Continue reading
-
UANISHAJI WA LUGHA
Uanishaji ni njia ya kuweka lugha katika makundi Kwa kuongozwa na vigezo mahususi.Mgullu (1999), anasema kuwa uainishaji wa lugha unaweza kufanywa kwa kuzingatia vigezo mbalimbali ambavyo ni uainishaji wa lugha kinasaba, uainishaji wa lugha kijiografia, uainishaji wa lugha kiuamilifu na uainishaji wa lugha kimuundo/ kimofolojia.Vigezo vya kuainisha lughaKinasabaKijiografiaKimuundo/ kimofolojiaKiuamilifu/Kiutendakazi1.Uanishaji lugha KinasabaNi mchakato wa kuweka lugha Continue reading
-
SIFA BIA ZA LUGHA
Lugha ni mfumo wa sauti na ishara za nasibu inayotumika jamii yenye utamaduni wao kwa mawasiliano.Mfumo ina inadhihirisha kuwa lugha ina safu mbili kuu:MaanaSautiKila lugha ina fonolojia/sauti zake za pekee. Sauti mbalimbali hubainishwa na sifa mbalimbali.Lugha ya binadamu pia hutumia ishara, kuna ishara za aina mbili:Ishara za nasibu, ambazo hakuna uhusiano baina ya kitaja na Continue reading
About Me
Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.
