Academia
-
Maombi 6 ya Julai, 2023
Hapa kuna orodha ya maombi sita ya mwezi wa Julai: Continue reading
-
Chuo Kikuu Cha Pwani
Chuo Kikuu cha Pwani, ni chuo cha umma kilichoko Kaunti ya Kilifi, Kenya. Ilianzishwa mwaka wa 2007 kama chuo kishiriki cha Kenyatta na baadaye kupata hadhi kamili ya chuo kikuu mnamo 2013. Chuo hiki kinapatikana katika eneo la pwani la Kenya, karibu na mji wa Kilifi. Chuo kikuu cha Pwani kinatoa programu mbalimbali za shahada Continue reading
-
Father’s Day
Father’s Day is a special day dedicated to honoring fathers and celebrating their contributions to the family and society. It is typically observed on the third Sunday in June in many countries around the world, including Kenya. Father’s Day provides an opportunity to show appreciation, love, and gratitude to fathers and father figures for their Continue reading
-
Pomodoro Technique 👏
Pomodoro Study Technique The Pomodoro Technique is a time management method that was developed by Francesco Cirillo in the late 1980s. It’s a popular technique for improving productivity and focus, especially for studying or working on tasks that require sustained attention. Here’s how it works: The key principle of the Pomodoro Technique is to break Continue reading
-
SIKUKUU YA MAMA
Siku ya Mama ni siku ambayo tunatambua na kuadhimisha umuhimu wa mama na jukumu kubwa ambalo wanalo katika maisha yetu. Siku hii huadhimishwa kila mwaka katika nchi nyingi duniani, kawaida siku ya pili ya Jumapili ya Mwezi wa Tano. Siku ya Mama ilianza kama harakati za kuwaheshimu mama na wanawake katika miaka ya 1900. Mwanaharakati Continue reading
-
Wasifu Wa Nelly Cheboi
Mwanamke Shujaa, Nelly Cheboi. Taswira kamili inanijia akilini mwangu. Si ndoto Wala soga ya aina yoyote. Inaweza kuwa ni sadfa ila sivyo. Ni kweli wala si uvumi. Ni taswira ya mtoto wa kike, hivi Sasa mwanamke. Wanasema waswahili kuwa hata mbuyu ulianza kama mchicha. Ni katika Kijiji kisichojulikana katika eneo lolote la Afrika ama hata Continue reading
-
Shairi ya Kimapinduzi
Mgongo wake unauma.Dhiki nzito kuliko mzigo alioubeba.Familia yake nyumbani inalia, na leo anarudi nyumbani Mwanamapinduzi Hakiki.Lakini akiwa hana lolote la kuwaonyesha watoto wake Na mkewe aliyechoka Zaidi ya simulizi.Papa alitoka kupigania kesho Japo ameleta vuruguAna matumaini kwa namna fulani alitikisa mlalaheri,Zinazojificha chini ya uongo.Papa alitoka, kwendakuomba kwa amani, mkate na chai, tafadhali Lakini vitoa machozi Continue reading
-
TOFAUTI KATI YA LUGHA YA MAZUNGUMZO NA LUGHA YA MAANDISHI.
UwasilishajiLugha ya kimazungumzo huwasilishwa kwa njia ya mazungumzo au masimulizi, lakini lugha ya kimaandishi huwailishwa kwa maandishi MabadilikoLugha ya mazungumzo hubadilika kutokana na mazingira, wahusika, mada, wakati na madhumuni yake. Lugha ya kimaandishi haibadiliki pindi tu ikishaandikwa hata kama ilikuwa na makosa mpaka ifanyiwe marekebisho upya. Uhusiano na hadhiraLugha ya mazungumzo huwakutanisha ana kwa ana Continue reading
-
AFYA YA UZAZI NA NGONO.
Afya ya uzazi inahusisha hali ya kimwili, kihisia, na kijamii ya mwanamke, mwanamume, na watoto wanaohusiana na uzazi. Afya ya Uzazi inahusu udhabiti au uimara wa kimwili, kisaikolojia na kijamii katika taratibu zote zinazohusu Uzazi.Kuwepo Kwa ustawi imara wa afya ya Uzazi na ngono inahusu mambo mbalimbali inayohusisha na Kuingiliana vyema na watu wa familia, Continue reading
About Me
Welcome to my blog, MTU KUZI, a space dedicated to informing and educating a diverse audience without bias toward age, gender, race, or any other distinguishing factor. I am a seasoned professional with a deep foundation in communication, translation, administration, and education. My extensive experience spans prestigious roles at institutions like Pwani University, Mozilla Foundation, KIPPRA, and teaching Kiswahili at the University of Carolina – Chapel Hill.As a Kiswahili expert, I specialize in translating between English and Kiswahili and tutor both languages with a focus on immersive, practical learning experiences. My expertise in Kiswahili not only enhances my teaching but also enriches my translations, allowing for culturally and contextually accurate communication.In this blog, I leverage my skills and experiences to create content that bridges cultural divides and fosters understanding. Proficient in various software applications and online collaboration platforms, I aim to streamline communication processes and engage with a global audience effectively.You are invited to join me on this journey of exploration and learning. Follow MTU KUZI on Facebook, Twitter, Instagram, and LinkedIn to stay updated and connected. Thank you for visiting, and I look forward to sharing more with you.
